Habari

Dr.Faustine Ndugulile: Sisi kama Sekta iliyoguswa na tozo hii tunakusanya maoni ushauri (+ Video)

“Sisi kama Sekta ambayo imeguswa na tozo hii tunakusanya maoni ushauri na kuchakata takwimu na Wizara yangu itakupa ushirikiano Waziri Nchemba ili maelekezo ya Viongozi wetu tuhakikishe yamefanywa, niwaombe Watanzania tuwe watulivu katika kipindi ambacho Serikali inalifanyia kazi jambo hili la tozo”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents