Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Dully Sykes: Nataka kuoa mwanamke ambaye ni golikipa, sitaki kuoa anayefanya kazi

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @princedullysykes usiku wa jana kwenye tukio la @officialshetta alipata wasaa wa kuongea na wana habari na kueleza kuwa:

“Kwa sasa kiukweli yeye anataka kuoa na mwanamke anayemtaka ni mlinda mlango asiwe mfanyakazi akihofia mambo mengine.

Mwanamke mlinda goli namaanisha mwanamke ambaye atakuwa anaangalia familia pia ambaye hataangaika na DM za instagram yeye ni kuangalia familia tu na sio vinginevyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents