Burudani

Edu Boy awataja Alikiba na Darassa kama washindani wakuu wa Diamond (+video)

Msanii wa muziki Bongo, Edu Boy amesema kipindi cha nyuma wasanii walikuwa wakihofia kutoa nyimbo kipindi kimoja na Diamond lakini sasa hivi hicho hakipo.

Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Tunasafisha’ amesema Alikiba na Darassa ni miongoni mwa wasanii ambao wanaweza kutoa ngoma kipindi kimoja na Diamond na zikafanya vizuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents