Awards

Essence ya Wizkid ft Justin Beiber na Terms, Wimbo wa mwaka AFRIMMA 2021

Wimbo wa remix wa staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Wizkid Essence ambao amewashirikisha Justin Beiber kutoka nchini Canada na mwanadada Terms kutoka Nigeria umefanikiwa kushinda tuzo ya AFRIMMA kama wimbo bora wa mwaka 2021.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents