Fahamu hukumu iliyotolewa kufuatia vurugu mechi ya Nice vs Marseille pale Ligue 1

Klabu ya Nice inayoshiriki Ligue 1 nchini Ufarasansa imekutwa na hatia na kukatwa alama mbili kwenye mchezo wao dhidi ya Marseille ambao uliahirishwa dakika ya 75 kufuatia vurugu kubwa iliyojitokeza uwanjani Agosti 22, wakati huo huo beki wa Marseille, Alvaro Gonzalez na mtoa huduma ya afya wa timu hiyo Pablo Fernandez wakifungiwa.

Related Articles

Back to top button