Habari

Fainali za Miss Universe 2013 ni Nov 9, Miss Universe Tanzania, Betty Omara anahitaji kura yako

Fainali za shindano la Miss Universe 2013, za 62, zitafanyika November 9, Moscow, Urusi.

photographer_uploaded_1_79_1_1382890531_2013
Miss Universe Tanzania 2013, Betty Omara

Olivia Culpo, Miss Universe 2012 kutoka Marekani atamvitisha crown mrithi wa shindano hilo litakalowaniwa na nchini 86.

Mwaka huu Tanzania, inawakilishwa na mrembo, Betty Omara. Bonyeza hapa kumpigia kura.

Mfahamu zaidi mrembo huyu kwa picha hizi.

gallery_photo1381814591Tanzania

gallery_photo1382271181Tanzania2

photographer_uploaded_1_79_0_1382895485_2013

photographer_uploaded_1_79_2_1382986851_2013

photographer_uploaded_1_79_3_1382997184_2013

pu_1_2013_contestantsaroundmoscow_uni20132071_79

pu_1_2013_fashiondayatcrocuscitymall_uni20131485_79

pu_1_2013_yamamayswimwearformissuniverseshoot_dd44652_79

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents