BurudaniHabari

Filamu ya Tanzania ‘NYARA’ yapenya Netflix

Hatimaye movie ya action ya Tanzania ‘NYARA THE KIDNAPPING’ imefanikiwa kupatikana @netflix global ambapo itaweze kuonekana duniani kote.

NYARA THE KIDNAPPING ni filamu ambayo imetayarishwa hapa nchini Tanzania huku waigizaji na waandaji wakiwa ni watanzania.

“Tuna furaha kuwatangazia, ile filamu yetu pendwa ya Mapigano (Action Movie) ya NYARA The Kidnapping sasa inapatikana @netflix duniani kote.”

“Ni filamu ambayo imeandaliwa nchini Tanzania 🇹🇿 kuanzia kuanzia Waigizaji na timu nzima ya waandaaji, na tunajivunia sana kwa kila mmoja ambaye aliweza kushiriki katika kuandaa filamu hii. Shukrani zetu kwa @okadamedia wasambazaji wetu wakuu.”

“Ilikuwa ni safari ndefu sana lakini Munge Ametenda. Tumefanikiwa. Hongereni sana Waigizaji wote, na Timu nzima ya waandaaji. Tanzania 🇹🇿 🌎 @wanenestudios .”

Directed by @ramlifeofficial
Produced by @drshpndt
Production company @wanenestudios

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents