Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Fred Vunja Bei aeleza ukaribu wake na DC Jokate Mwegelo

Tukiwa Kigoma tumezungumza na mfanyabiasha maarufu nchini Fred Vunja Bei na kueleza juu ya ukaribu wake na Mkuu wa Wilaya ya Temekeb Mhe.Jokate Mwegelo.

Hii ni kutokana na comment ya Mwijaku baada ya Mhe. DC kupost picha yake na Mwijaku kuja ku-comment kitu ambacho kilimhusisha Fred Vunja Bei.

Vunja Bei ameeleza kwa urefu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents