Habari

FULL VIDEO: Hivi ndivyo Sam wa Ukweli alivyozikwa Bagamoyo, Dkt. Kikwete ahudhuria kwenye mazishi

Leo Juni 8, 2018 Mwili wa marehemu Sam wa Ukweli umeagwa jijini Dar es salaam na kwenda kuzikwa mkoani Pwani ambapo moja ya watu wakubwa waliohudhuria kwenye mazishi ni aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.
Tazama video ya tukio zima hapa chini:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents