Burudani
Gaga Blue afunguka kuhusu BongoFleva ‘WCB namkubali Rayvanny kuliko Diamond’ (Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2018/06/20225823_330892854036003_4831649096294989824_n-e1527875458341.jpg)
Msanii wa muziki kutoka Burundi, Gaga Blue amefunguka kuuzungumzia muziki wa bongofleva na mafanikio yake Afrika Mashariki. Rapa huyo amedai katika label ya WCB, msanii ambaye anamkubali na kumuona ni jembe ni Rayvanny.