Michezo

Gari la mashabiki Yanga lapata ajali, Uongozi Young Africans watoa pole (+Video)

Uongozi wa Yanga watoa pole kwa Wanachama na mashabiki kutoka tawi la Kidali Asilia Tandale waliopata ajali wakiwa njiani kuelekea Morogoro

Uongozi wa Klabu ya Yanga unatoa pole kwa Wanachama na Mashabiki wetu, kutoka tawi la Kidali Asilia Tandale waliopata ajali wakiwa njiani kuelekea Morogoro ambako timu yetu inacheza na Mtibwa Sugar.

Ajali hiyo imetokea eneo la Kingorwila nje kidogo ya mji wa Morogoro imesababisha majeruhi kadhaa na uhalibifu wa mali , hivyo Uongozi unawaombea majeruhi wote wapone haraka.

Uongozi unathamini mchango mkubwa wa Wanachama na Mashabiki katika kuisapoti timu yetu popote inapocheza hapa nchini.

https://www.instagram.com/p/CC8ti0-hTAj/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents