HabariMichezo

Gary Nevile awakataa Man United

Nyota wa zamani wa klabu ya Manchester United Gary Neville aikataa Man United wakati akiwa anahojiwa na Sky Sports anasema, “Timu iko chini ya kiwango inakatisha tamaa sana, alisema Neville.

“Ninahisi kama tuko katika mzunguko wa kuwa wa haki nasema ’sisi’, kelele dhidi ya Meneja inaanza kutokea, kuna kelele zile zile hakika hatuwezi kumuondoa meneja mwingine, lazima tuwaondoe wachezaji kwa sababu ndio waliowaondoa wasimamizi wengine, na kisha tunageukia wamiliki na kwa sasa nimechoka nimechoka na klabu yangu.”

Neville aliendelea kwa kusema “Sitaki tena kutazama michezo yao, na hilo ndilo shitaka la kusisitiza zaidi ambalo unaweza kuwa nalo kwa klabu yako ya soka, unapochoka kuwatazama, na sio mimi tu watu kadhaa katika wiki chache zilizopita inatosha nahisi uchovu kuwatazama, naipenda klabu yangu tayari ninahofia kitakachotokea Anfield baada ya wiki mbili, tayari ninaogopa kitakachotokea Jumatano Usiku dhidi ya Chelsea klabu nzima imepoteza imani kwa mashabiki.”
Alisema Gary Neville akiwa anahojiwa na Sky Sports.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents