Habari

Gazeti la Tanzania Daima lamuomba radhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Gazeti la Tanzania Daima, limemuomba radhi Mwanasheria wa serikali AG, George Masaju kwa kuweka picha ya mwanasheria huyo na nukuu isiyo yake, katika toleo namba 4563 la Mei 31 lililokuwa na kicha cha habari cha ‘Mchanga hofu tupu’

Soma taarifa kamili:

Tazama muonekano wa gazeti hilo:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents