Burudani

Kuhusu Harmorapa kupanda ndege

Msanii wa Bongo Fleva Harmorapa amebainisha katika maisha yake hakuwahi kuwaza ipo siku atakuja kupanda ndege lakini kupitia muziki ameweza kufanikisha hilo.

Harmorapa

Kupitia mtandao wa instagram Harmorapa ameandika, “Maisha ni safari ndefu na mpangaji ni mwenyezi Mungu. Ukweli sikuwahi kuwaza katika maisha yangu kama ipo siku nitatimiza moja ya ndoto yangu ya kupanda ndege.

So ndugu zangu nawasihi ni mwiko kukata tamaa, omba Mungu sana atakutimizia ndoto zako. Shukrani #bossladySabuka kwa kunifikisha hapa nilipo, leo pia naomba Mungu ajalie aendelee kua na moyo huo wa kizungu maana kiukweli ni mzungu wa pekee.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents