Burudani

RECAP: Hongera Diamond na Rayvanny, Je ni kweli wasanii wengi Tz hawajui kufanya Show?? (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amechambua shows za wasanii wengi zilizofanyika wikiendi hii.

Aliwasifia waandaaji wa Jukwaa la Bite Vibes ambalo liliwapandisha Diamond na Casper na kusema hiyo ilikuwa moja ya Stage bora kuwahi kuiona Tanzania.

@el_mando_tz amewashauri waandaaji wa Shows nchini kuwa anahisi wamejifunza kitu kuhusu Stage zinavyotakiwa kuwa.

Mbali na hilo @el_mando_tz amewasifia Rayvanny, Ganko na Diamond kwa kufanya show kali ambazo ziliwafanya mashabiki waenjoy muziki.

Lakini pia amekosoa baadhi ya wasanii na kusema asilimia kubwa ya wasanii nchini hawajui kufanya shows(kutumbuiza Jukwaani) na kusema kuna kazi kubwa sana ya kufanya.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi???

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

Host: @el_mando_tz Cameraman @samirkakaa

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents