Burudani

RECAP: Marioo, Jay Melody, Zuchu & Mbosso wasanii bora, Vanilla amemkazi Roma (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amechambua nyimbo za wasanii kadhaa zilizotoka tayari.

Ameizungumzia ngoma ya Vanillah ft Roma ya NEVER MIND lakini pia ngoma ya Rayvanny na Iyanya na pia album ya Jay Melody.

Amesema kuwa kwa sasa wasanii bora kwa upande wake ni Jay Melody, Marioo. Zuchu na Mbosso ingawa Harmonize anaharibiwa na mambo yake nje ya muziki.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

Host: @el_mando_tz Cameraman @samirkakaa

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents