Michezo

Ghana ya mrudisha tena kocha Appiah

Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Ghana Kwesi Appiah ameteuliwa tena na Chama cha soka cha nchi hiyo kuwa kocha mkuuwa wa taifa hilo.

Appiah amepewa mkataba wa miaka miwili wa kuinoa timu ya taifa na ataanza kazi yake rasmi Mei Mosi mwaka huu.

Kocha huyu anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Avram Grant ambae alijiuzulu baada ya kumalizika kwa fainali za michuano ya kombe la mataifa ya afrika ya mwaka 2017.

Hi inakuwa ni mara ya pili kwa kocha huyu kuinoa tena timu hiyo ya taifa mara ya kwanza aliiongoza timu hiyo kuanzia mwaka 2012 hadi 2014.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents