Mahojiano

H Baba: Diamond muongo sana nyumba 126 ? ndugu zake wangefukuzwa kisa kodi ? (+ Video)

Akiongea na @el_mando_tz @h.baba_ ameonyesha kuchukizwa na kauli za baadhi ya mashabiki yeye akidai ni team WCB kuwa hakustahili kushirikishwa na @harmonize_tz kwenye ngoma ya Attitude.

@h.baba_ amewanyoshea mkono WCB kwa kusema kuwa wao ndio waliishusha Brand yake kwa kuimba kwenye ngoma ya #ZILIPENDWA kuwa mauno ya H Baba zilipendwa wakati ndio mtaji wake na hivyo alipoteza wateja wakiamini kweli zilipendwa.

“Wanaosema sikustahili kushirikishwa na @harmonize_tz kwenye Atittude basi wangemshirikisha Boss wao @diamondplatnumz ”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents