H Baba: Alikiba kajenga nyumba ya gharama na haongei, South Afrika ingekuwa yake angerekodi fensi ? (+ Video)

Akiongea na @el_mando_tz H Baba ameeleza kuwa kama kweli Diamond amenunua Ndege apost hapa plate namba za Ndege hiyo kwani amekuwa akiwaongopewa watu sana maana aliahidi amenunua gari la kifahari rolls royce na kuhoji Jee hiyo Meli ilizama mbona hilo gari halikuonekana.

Ukitaja kwa upande wa Nyumba hapa Dar hafikii gharama za nyumba ya Alikiba

Related Articles

Back to top button