Burudani

Hali ya P Diddy ilivyokuwa kabla ya kutoroka huko Miami (Video)

Hii ndio video ya mwisho ya P Diddy akiwa nje ya Uwanja wa Ndege huko Miami ambapo inaelezwa kuwa Ndege yake imeonekana katika visiwa vya Caribbean.

Camera za TMZ zilimnasa P Diddy akiwa kwenye hali hii baada ya taarifa kusambaa kuwa Maafisa wa Polisi wanakuja kuvamia nyumba zake.

Hii inaelezwa ndio Diddy alikuwa akipanga mipango ya kutoroka ambapo Ndege yake imeonekana kwenye visiwa vya Caribbean na haijawekwa wazi kama na yeye yupo Kwenye Ndege yake.

Inaelezwa Polisi kwenye majimbo zilipo nyumba zake yaani Washington Dc, Los Angeles na Miami wamevamia na kuchukua taarifa za Ushahidi kuhusu madai yanayomkabili ya unyanyasaji wa kingono.

🎥 via Theshaderoom. Written by @el_mando_tz

 

https://www.instagram.com/reel/C492hw7tQL9/?utm_source=ig_web_button_share_sheet

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents