Burudani

Hamisa Mobetto aanza kumtaja muhusika wa mimba yake?

Unatamani kumjua njemba yenye ujauzito wa Hamisa Mobetto baada ya Diamond kutolea nje mimba hiyo?

Kupitia kipindi cha XXL, hitmaker wa I Miss You, alikana kuwa mtoto huyo ambaye anatarajiwa kuzaliwa na Hamisa siyo wa kwake na kumtaka mrembo huyo amuweke wazi mwenye mzigo huo ili apunguziwe kunyooshewa vidole.

Mrembo huyo ni kama ameelewa somo hilo kutoka kwa Diamond, kupitia mtandao wa Instagram ameandika ujumbe ambao unaonesha anataka kumtaja mwenye mimba hiyo japo aliishia kati bila ya kumalizia. ??!!!Mama Daa…?.Mama Dee…?.Mama Diiii….?.Mama doo….?.Mama duuh……?❤️,” ameandika Mobetto kwenye picha hiyo hapo chini aliyoiweka kwenye mtandao huo.

Baada ya kuandika hivyo mashabiki walicharuka na kuamua kumalizia jina la baba wa mtoto huyo wenyewe. Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye mtandao huo.

beibdebevy:Mama Diamond ?????????

dehero_69Mama alikiba ? hahaha dodo @hamisamobetto

mommy_genius:Mama Danube ????

kitela_bwoy:Kiki kwa pikipiki @hamisamobetto mond ameikataa mimba ????

june.matenu:Mchokoz wewe acha watu watoe omo chacha

wema_memes:???? babe bhanaaa….m nachagua Dee

said_khamiss_asahd:Mama dangote???

iamdarlen_j:mama Dee chibu D

officialnorine_gal:Mama Dangotee ???? mchokoz wew Missa

Ameongeza kuandika “??Mama ………?#AngalizoUshauriPelekeniAngaza?.”

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents