BurudaniHabari

Harmonize aingia studio na Jay Melody (Video)

Kupitia ukurasa wa Instagram wa @harmonize_tz ameweka clip mbili zikimuonyesha msanii mwenzake @realjaymelody moja akiimsifia na nyingine @realjaymelody akiwa studio akirekodi.

Huenda siku sio nyingi tukashuhudia collabo ya @harmonize_tz na @realjaymelody

Unatamani watoe Remix au watengeneze ngoma nyingine??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents