HabariMichezo

Taifa Stars yaja na jezi mpya ya AFCON 2023

Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetambulisha jezi mpya kwaajili ya Michuano ya AFCON 2023.

Tanzania Sweetheart @wemasepetu ni miongoni mwa model ambao wametokelezea kwenye picha za jezi hizo.

Uzi huo unauzwa tsh 45,000 katika maduka ambayo TFF wameyatangaza kupitia post zao.
Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents