Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Harmonize kumuombea Diamond msamaha Rwanda amewafaya Wanya Rwanda wamuone Diamond ndio mwenye kosa – El Mando

Kitendo cha Harmonize kumuombea Diamond msamaha Rwanda ni kumfanya Diamond aonekana mwennye makosa haliyakuwa sio kweli kuhusu kutokufanya show Rwanda.

Diamond alitakiwa kwenda kufanya show Rwanda mnamo disemba 23 katika ukumbi wa BK Arena uliopo jijini Kigali nchii Rwannda, kabla ya siku ya show mnamo disemba 22 Diamond alipost Insta story yake akieleza sababu za kutokwennda kufanya show Rwanda.

Diamond alisema kuwa show ile imeshindikana kwa sababu ya kushindwana na waandaaji wa show ile hivyo aliomba msamaha na kusema ataanndaa show nyingine na kurudi Rwanda.

Harmonize kumuombea msamaha inamaanisha kosa lilikuwa la Diamond wakati show haikuandaliwa na Diamond bali waandaaji walikuwa wengine nna ndio walishindwa na Diamond.

Kitedo hicho kinaoyesha kosa lilikuwa na Diamod, unahisi kulikuwa na haja ya Harmonize kumuomba Diamond msamaha haliyakuwa kosa halikuwa la kwake?? na unahisi kwannini Harmonize aliomba ule msamaha??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents