Michezo
Hawa ndo wacheezaji wa Ligi Kuu England walio funga jumla ya mabao 1,260
Wachezaji wa zamani wa Ligi Kuu England wamekutana na kwa pamoja wametengeneza jumla ya mabao 1,260.
Nyota hao kila mmoja alikuwa na mabao kadhaa aliyofunga kwa kipindi alichokuwa Ligi Kuu England, kila mmoja akiwa na timu yake.
Nyota hao ambao ni Ryan Giggs, Dion Dublin, Alan Shearer, Jimmy-Floyd Hasselbaink, Matt Le Tissier, Michael Owen, Les Ferdinand, Emile Heskey na Robin van Persie.