Burudani
Hii ndio kazi nyingine ya Rick Ross ambayo ingemfaa zaidi (Video)
Kuimba ni kipaji sio kila mtu amebarikiwa kuwa nacho. Rapper Rick Ross aeonekana kazi ya ualimu inaweza ikamfaa zaidi. Ross ameonekana akiwafundisha watangazaji kuchana wimbo wake, BMF ambao umeuachia takribani miaka saba iliyopita. Tazama video hiyo hapa chini.