Ibraah: Harmonize hakunipeleka Marekani bali promota alinipa na mimi show mbili (+ Video)

Akiongea na wana habari baada ya kufika Uwanja wa Ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere msanii huyo kutoka Konde Gang ameeleza sababu za kurudi Tanzania.

Ibraah ameweka wazi kuwa Marekani hakupelekwa na Harmonize bali Promota alikuja kumchukua kwa ajili ya kwenda kufanya show zake mbili na baada ya kumaliza aliamua kurudi kwa ajili ya kuendelea na mambo mengine.

Related Articles

Back to top button