MahojianoVideos

Ibraah: Ukimzingua Harmonize ntakuzingua maisha yote (+ Video)

Akiongea na @el_mando_tz @ibraah_tz alimaarufu Chinga ameeleza kwa urefu kuhusu kinachoendelea kati take na @miriamodemba

@ibraah_tz amesema kuwa atajaribu kuongea naye na kama wataelewana basi anaweza akawa naye kwani @miriamodemba ni mwanamke.

Mbali na hilo pia amezungumzia kuhusu yeye kutokuwepo kwenye tuzo. Mtu akimzingua @harmonize_tz mimi ntamzingua maisha yangu yote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents