Burudani

Idris Sultan: Mimi na Samantha tumeachana

Idris Sultan na Samantha wa Afrika Kusini hawapo tena pamoja – kwa mujibu wa mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014.

IdrisSamantha1

Akiongea Jumapili, November 15 kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Idris alithibitisha kuwa uhusiano wao umeshavunjika.

Samantha na Idris walikuwa wamefika mbali zaidi kwenye uhusiano wao kiasi cha mrembo huyo waliyefahamiana kwenye shindano hilo kuja Tanzania na kuishi na Idris kwa wiki kadhaa.

11351782_200458186953510_849931754_n
Idris akiwa na mtangazaji wa kipindi cha The Playlist, Lil Ommy

“It’s over,” Idris alimjibu mtangazaji wa kipindi hicho Lil Ommy aliyemuuliza kama kuna ukweli wowote kuhusiana na tetesi kuwa amemchumbia.

“Me and her is done,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents