Burudani

Izzo bizness afunguka ‘Kuchora tatoo ya Mpenzi ni Ubwege’ Pia atoa sababu ya kumshirikisha Jey Melody kwenye nyimbo yake (+Video)

Izzo bizness afunguka 'Kuchora tatoo ya Mpenzi ni Ubwege' Pia azungumzia nyimbo yake mpya ya Nishadata atoa sababu kwanini alimshirikisha Jey Melody (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Izzo bizness amefunguka kuhusiana na ngoma yake mpya aliyomshirikisha Jey Melody ya “Nishadata” lakini pia kuhusiana na maisha yake kiujumla.

Msanii huyo ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo five na kutoa sababu ya kuamua kumshirikisha msanii mchanga Jey Melody. Mbali na hilo Izzo amezungumzia kuhusu watu wanaochora Tatoo za wapenzi wao hali yakuwa hawajafunga ndoa.

https://www.youtube.com/channel/UCrJ5CGMLyFFLnKtVNpgxtrQ?view_as=subscriber

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents