Burudani

Mwarabu Fighter afunguka maumivu aliyopitia wakati anafanya kazi na WCB ‘nilipata ajali nne za pikipiki nikimuwahi Diamond’ (+Video)

Mwarabu Fighter afunguka jinsi alivyopata shida wakati anafanya kazi na Diamond na kusema "Nilipata Ajali nne za pikipiki nikimuwahi Diamond" (+Video)

Aliyekuwa Bodygurd wa Diamond na sasa bodygurd wa Irene Uwoya Mwarabu Fighter amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na alivyoteseka akiwa mlinzi wa Diamond pia afunguka alivyokuwa anakatwa mshahara kwa kuchelewa kazini.

Mwarabu ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo five lakini kubwa zaidi akiongelea jinsi alivyokuwa anahangaika kazini lakini hakuthaminiwa na msanii huyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents