Burudani

Izzo Bizness ni baba mpya mjini, tazama picha ya binti yake hapa!!

List ya wasanii/wanahip hop Tanzania waliobahatika kupata watoto inazidi kuongeza sasa. Na sasa chama cha wazazi vijana kinamkaribisha rasmi, Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness kundini.

f475eb8ae3bb11e2af9822000a1f9331_7
Mtoto wa kike wa Izzo B

Hitmaker huyo wa Love Me, ameshare picha hiyo ya mwanae kwenye Instagram ambaye anaonekana kufanana naye hasa macho, na kuandika ‘Miss Bizness’.

Bongo5 imethibitisha kwa Izzo B kuwa huyo ni binti yake na amesema ‘hakuna utajiri mkubwa duniani kama wa mtoto’.

Hongera sana Izzo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents