Burudani

Jaffarai aondolewa appendix

Habari zimetufikia hivi punde kutoka kwa Shy-Rose Bhanji kupitia facebook kwamba mpendwa wake Jaffarai amefanyiwa operation ya appendix jana usiku na mpaka sasa anaendelea vizuri. Tuendelee kumuombea ili apone haraka.

Upande wa bongoflava Jaffarai anaendelea kufanya vizuri na ngoma yake “Demu Wangu” akimshirikisha T.I.D. chini ya usimamizi wa producer Lamar, isikilize hapa chini.

{mmp3}jaffarai_ft_tid_demu_wangu.mp3{/mmp3}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents