Habari

Jay Be ndani ya Sauzi

Image
Wanandoa wanaotengeneza vichwa vya habari kila kukicha kutokana muziki wao kuwa juu, Jay Z na Beyonce, wametajwa miongoni mwa wanamuziki watakaotumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia kwenye uwanja wa Orlando Juni 10 2010. Wawili hao wataimba nyimbo zao zilizofanya vizuri huku watazamaji wakikadiriwa kuzidi bilioni 5

Pamoja nao watakuwepo Black Eyed Peas na wasanii wengine kutoka Afrika

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents