Burudani

Jay Z alitokwa machozi wakati akiandika verse kwenye wimbo wa Young Jeezy ‘Seen It All’

Boss wa Roc Nation, Jay Z alijikuta akitokwa na machozi wakati akiandika verse yake kwenye wimbo Young Jeezy, ‘Seen It All’.

https://www.youtube.com/watch?v=morsd7__4nI

Kwenye wimbo huo, Hov anakumbuka maisha yake ya kitambo wakati akiuza madawa ya kulevya. Ilimchukua dakika 30-40 kumaliza verse yake ambayo ilimkubusha kumbukumbu nyingi za wakati akihangaika na maisha.

“We got on the phone and [Jay] was like, ‘Yo, Jeezy, when I was writing the verse I had tears in my eyes, man,’ because it took him so far back to Marcy,” Jeezy aliiambia MTV News. “Every bar in that song was real—I put my hand on the Bible.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents