Burudani
New Video: Fuse ODG ft. Sean Paul – Dangerous Love
Msanii wa Ghana, Fuse ODG ametoa video mpya ya wimbo aliomshirikisha nyota kutoka Jamaica Sean Paul. Wimbo huo unaoitwa ‘Dangerous Love’ umefanywa na maproducer wawili malegend Killbeatz na Di Denius kutoka Ghana na Jamaica.