Burudani

Je, Papii Kocha na Babu Seya watajihusisha na siasa baada ya kutoka jela? soma majibu yao

Wasanii wa muziki wa Dansi nchini Tanzania, Papii Kocha na Babu Seya wameamua kuweka wazi kuhusu tuhuma za baadhi ya mashabiki wao kwamba tangu watoke jela kwa msamaha wa Rais wamekuwa watu wanaojihusisha na masuala ya kisiasa.

Papii Kocha na Baba yake wamesema kuwa kwa sasa hawapo kabisa na masuala ya kisiasa kwani hao ni wanamuziki na hawajui hata jinsi ya kusimama jukwaani na kuhubiri siasa. Tazama video yao hapa chini wakifunguka.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents