Burudani

Jennifer Lopez aungana na NBC kutengeneza series mpya

Kituo cha runinga cha NBC kimeungana na Jennifer Lopez kutayarisha tamthilia iliyopewa jina C.R.I.S.P.R.

jennifer-lopez-net-worth

C.R.I.S.P.R.— ambayo ni kirefu cha ‘clustered regularly interspaced short palindromic repeats’ ni tamthilia ya kisayansi.

Hiyo haitakuwa mara ya kwanza NBC inafanya kazi na Jennifer. Wameshirikiana kwenye tamthilia Shades of Blue. Lakini pia Lopez atatayarisha na kuwa jaji wa mashindano ya kucheza ya World of Dance.

Pamoja na NBC, Lopez ana mradi wa tamthilia ya sheria na CBS huku pia akitarajiwa kucheza kama muuza unga, Griselda Blanco kwenye filamu ya TV ya HBO.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents