Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Joh Makini afunguka mengi kuhusu AKA na namna collabo yao ilivyofanikiwa

Rapa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka kundi la Weusi ambaye amewahi kufanya kazi na A.K.A Don’t Bother  Joh Makini amefunguka kwa urefu na kutoa pole kwa familia ya AKA pia nmna alivyofanikisha collabo yao.

Joh Makini ameeleza kusikitishwa na taarifa hizo huku akisema atumiss ukarimu wa AKA kwa alikuwa mtu poa sana, Joh Makini amefunguma kuwa hakutegemea kama AKA angekuwa mtu mkarimu sana kwa alivokuwa akimuona kabla ya kukutana Dar Es Salaam.

ameongeza kuwa kitu ambacho hawezi kukisahau ni namna collabo yao ilivyofanikiwa nna hata siku wanaingia studio AKA alianza kurekodi na Diamond ngoma yao ya MAKE ME SING lakini aliomba Joh Makini asubiri mpaka pale atakapomaliza.

msikiliza Joh Makini akieleza kwa urefu zaidi.

Tayari kipindi cha Recap na Mando tayari kimepanda kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Written by @el_mando_tz

edited by @sameeer2_

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents