Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Mandonga adai hamjui Sallam Sk, hakuna Mluguru anaitwa Sallam

Siku ya Bondia Manndonga amefanikiwa kushinda tuzo ya kuwa bondia bora Tanzania na baada ya tuzo hizo alifanikiwa kuonngea na wana habari.

Baada ya kuongea nao aliulizwa kuhusu pambano alke na Meneja wa Diamond Sallam Sk na Mandonga akajibu hamjui Sallam Sk na kusema Sallam ni nani??

Mandonga akaongeza kuwa hakuna Mluguru anaitwa Sallam Sk

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents