Burudani

Joseph Olita, aliyeigiza kama Idi Amin afariki

Muigizaji aliyeigiza kama Idi Amini, kwenye filamu ya Rise and Fall of Idi Amin, Joseph Olita amefariki dunia Jumapili (June 1) akiwa na umri wa miaka 70.

Joseph Olita_full

Imeripotiwa kuwa Olita alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu na alizidiwa zaidi Jumapili akiwa nyumbani kwake wilaya ya Siaya nchini Kenya na kupoteza maisha majira ya saa tano asubuhI.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents