Burudani
Video: Cypher ya Kitaa 1 & 2, Arusha (Wanene Entertainment)
Rappers mbalimbali wa Arusha wakiwemo Chaba, Fido na wengine wa Arusha wameshiriki kwenye cypher ya kitaa iliyoandaliwa na kampuni ya Wanene Entertainment. Video zimechukuliwa na kutayarishwa na Cyne Studios.