Burudani

Diva The Bawse kuhost ‘Selfie Night’ Jumapili hii Bilicanas, Barakah da Prince, Linex na Mo Music kutumbuiza

Mashabiki wa kupiga Selfie Jumapili hii watakutana pamoja katika party ya wana Instagram iliyopewa jina la ‘Selfie Night’.

IMG-20140603-WA0000

Linex Sunday Mjeda atauwasha moto pamoja na wasanii wengine akiwemo muimbaji wa ‘Jichunge’ Barakah Da Prince, mkali wa ‘Basi Nenda’ Mo Music, Jerry wa Rhymes, Timbulo na Masebene.

Mtoto mzuri Diva ndiye atakuwa host wa party hiyo itakayofanyika Jumapili hii (June 8) Club Bilicanas, Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents