Michezo

Juma Mgunda kurudi Coastal Union

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda inaelezwa yupo mbioni kurejea Coastal Union kwa nia ya kwenda kuiongezea nguvu timu hiyo itakayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Inaelezwa Mgunda anatakiwa na Coastal kwa uzoefu alionao anga za kimataifa ili asaidiane na David Ouma na inadaiwa mazungumzo yapo mahali pazuri na muda wowote inaweza kutangazwa kurejea kwa Mgosi kwa Wagosi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents