Burudani

Kanye West amgeuzia kibao Rais Trump ‘nilitumika kisiasa kueneza ujumbe wenye chuki, sitafanya tena siasa’

Rapper Kanye West ameamua kujiweka mbali na masuala ya siasa, hii ni baada ya kukiri wazi kuwa alikuwa anatumika na Rais Trump kueneza ujumbe wenye chuki na ukakasi jambo ambalo haikuwa idhini yake.

Image result for kanye west
Kanye West

Kanye West ambaye amekuwa mstari wa mbele kuukingia kifua uongozi wa Rais Trump, amesema kuwa kwa sasa atajikita kwenye mambo yake binafsi ya ubunifu na atajiweka mbali na siasa.

Kwa upande, mwingine Kanye West amesema kuwa ataendelea kuhimiza mabadiliko ya sheria za umiliki silaha na ajira kwa watu wanaotoka jela.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents