Habari

Kidato cha sita kuanza mitihani leo.

Jumla ya wanafunzi 74,963 wa kidato cha sita leo wanatarajiwa kuanza kufanya mitihani ya kumaliza shule ya sekondari. Kati ya hao 11,861 ni wakujitegemea na 63,102 ni washule za serikali na binafsi.

Kwa mwaka jana matokeo ya kidato cha sita yalishuka asilimia 1.33 katika kiwango cha ufaulu ikilinganishwa mwaka 2015.

Shule 10 zilizofanya vizuri kwa mwaka jana ni;
1.Kisimiri,-Arusha
2.Feza Boys,-Dar es Salaam
3.Alliance Girls,-Mwanza
4. Feza Girls,-Dar es Salaam
5. Marian Boys,-Pwani
6.Tabora Boys,-Tabora
7.Kibaha,-Pwani
8.Mzumbe-Morogoro
9.Ilboru,-Arusha
10.Tandahimba-Mtwara

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents