Kijana wa Kitanzania aliyejipatia umaarufu Ulaya: Nilitukanwa nikaambiwa nacheza nyimbo za WCB tu, P Square nawadai (+ Video)

@petitafro ni kijana wa Kitanzania aliyeamua kujiajiri kupitia kipaji chake cha kucheza ( Dance), kwa sasa anaishi katika mataifa mawili amabyo ni Uholanzi na Uhispania.

Hapa anaeleza jinsi Watanznaia walivyokuwa wanamponda wakimwambia anacheza nyimbo za WCB pekee yake lakini pia @diamondplatnumz alivyomsapot na kumfanya ajulikane Tanzania na Afrika Mashariki.

Petit ameeleza kuwa wasanii wa Nigeria P Square kuwa hawakulipa deni lake hadi leo baada ya kucheza kwenye show yao.

@petitafro ameeleza pia sakata la Ubaguzi wa Rangi Ulaya hasa Wamarekani kumtaka aache kuwafundisha wazungu asili za Kiafrika.

Related Articles

Back to top button
Close