Habari

Kinana na Makamba waitikia wito Lumumba Dar (Picha)

Makatibu wakuu wastaafu wa CCM, Yusuf Makamba na Abdulrahaman Kinana leo Februari 10, 2020 wamefika katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa Kamati ndogo ya Usalama na Maadili inayoongozwa na Philip Mangula.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents