Habari

Diamond alamba dili la ubalozi, aandika ujumbe huu

Staa wa Muziki Afrika @diamondplatnumz, ameufungua Mwezi wa Mei Kibabe baada ya Kampuni ya SBL ( Serengeti Breweries Limited) inayozalisha Bia za @serengetipremiumlite kumtangaza Rasmi kuwa Balozi Mya wa Vinywaji Hivyo (Brand Ambassador )

Kupitia Kurasa Zao SBL Wameandika : “Tunafurahi Kumkaribisha Rasmi @diamondplatnumz kwenye familia ya Serengeti.

Diamond ni mwakilishi sahihi wa mtanzania mwenye hamasa, uthubutu na uaminifu.

Umashuhuri wake na uhusiano wake wakaribu na wateja wetu, unamfanya awe balozi bora

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents