Michezo

King James amshusha Shaq O’Neal katika Orodha ya wafungaji NBA

Mchezaji wa NBA ambaye ana chezea timu ya Cleveland Cavaliers, LeBron James amempita Shaq O’Neal katika Orodha ya wafungaji wa muda wote wa NBA.

Lebron sasa amefikisha Pointi 28,599 na kushika namba 7 katika orodha hiyo na kumshusha O’Neal mpaka 8 akiwa na Pointi 28,596.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents